Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati-waliokaa),
Balozi wa China nchini, Lu Youqing
(wapili kulia), Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Omar Juma
Kaniki (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la
Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Serikali ya China imetoa misaada ya
Pikipiki, Kompyuta na Samani za ofisini kwa ajili ya kulisadia Jeshi la Polisi.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
No comments:
Post a Comment