Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) akikabidhi
zawadi kwa Sajin Taji wa Jeshi la Magereza, Kessy Ngwengwe(kushoto)
ambaye alikuwa ni Dreva wa Magari ya Viongozi Makao Makuu ya Jeshi
Magereza. Askari huyo amestaafu Utumishi wake wa Umma tangu Julai 1,
2014.
|
No comments:
Post a Comment