Trafiki
Makao Makuu jijini Dar es salaam, Mkaguzi Msaidizi, Yohana Mjema (kulia),
akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mrongo (watatu kushoto),
namna ajali barabarani zinavyoweza kuepukika endapo watumiaji barabara watakuwa
waangalifu kwa kufuata sheria za barabarani. Mkuu wa Mkoa aliyazindua maonesho
hayo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani katika Kiwanja cha Mpira Amri
Abeid jijini Arusha leo. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Pereira Ame Silima, na kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani,
Kamishna Msaidizi Mohamedi Mpinga.
|