WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Thursday 5 June 2014

BONYEZA LINK KUANGALIA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili yameorodheshwa. Usaili utafanyika tarehe 13 Juni, 2014, katika uwanja wa Taifa. Wasailiwa wote wafike saa moja na nusu asubuhi.

http://www.moha.go.tz/phocadownload/Kuitwa%20Kwenye%20Usaili_Uhamiaji.pdf

  Tangazo hili limetolewa na: 
  KATIBU MKUU,
  WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 
  3.6.2014.

No comments:

Post a Comment