Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Naibu Balozi
wa Uingereza nchini Tanzania, Penny Smith (katikati) masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai,
Ubalozi wa Uingerzea nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika
katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith (katikati) akimfafanulia jambo Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai,
Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika
katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mshauri
wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto)
akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia)
kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania.
Katikati ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith. Mazungumzo hayo
yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Naibu Balozi wa
Uingereza nchini, Penny Smith (wapili kulia), Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa
Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) na Kamishna wa Pasipoti na Uraia,
wa Idara ya Uhamiaji, Victoria Lembeli wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
mazungumzo marefu yaliyofanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya
Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment