WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Friday, 23 January 2015

MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment