Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (wanane kushoto), Naibu Waziri wa
Wizara hiyo, Injinia Hamad Masauni (watano kulia), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja
Jenerali Projest Rwegasira (wasaba kushoto), Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Mbarak Abdulwakil ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi (wanne kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Balozi Simba Yahya (wanne kushoto), Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, anayemaliza muda wake, Joyce
Mends-Cole (wasita kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Wizara
pamoja wa UNHCR mara baada ya hafla fupi ya kumuaga Joyce, iliyofanyika katika
Hoteli ya Serena, Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
|
No comments:
Post a Comment