Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na
Kamishna wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo
alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili
masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini.
|
No comments:
Post a Comment