Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia)
akimkaribisha ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar, Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Waziri Chikawe alifika ofisini hapo kwa lengo la
kujitambulisha kwa Rais huyo baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi. Viongozi hao pia walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi
na usalama wa Tanzania Bara na Visiwani. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara
hiyo, Pereira Ame Silima. (Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia)
akimsikiliza kwa makini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe
(katikati) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika
Ikulu ya Zanzibar leo. Waziri Chikawe
alifika ofisini hapo kwa lengo la kujitambulisha kwa Rais huyo baada ya
kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Viongozi hao pia walijadiliana
masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na usalama wa Tanzania Bara na
Visiwani. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame Silima. (Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (watatu
kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Mathias Chikawe (watatu kushoto), Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame Silima
(wapili kulia), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Dickson Maimu (wapili
kushoto). Kulia ni Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa, Ofisi ya Zanzibar,
Vuai Suleiman. Kushoto ni Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omary
Makame. Waziri Chikawe alifika Ikulu ya Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha
kwa Rais Shein baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Viongozi hao pia walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na
usalama wa Tanzania Bara na Visiwani. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,
Pereira Ame Silima. (Picha zote na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment