Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza huku akishangiliwa na Mama Lishe wa Mjini Nachingwea baada ya kuwakabidhi msaada wa vyombo mbalimbali vya jikoni mjini humo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao.
Fatuma Mohamed, Kiongozi wa Mama Lishe mjini Nachingwea (katikati) akimshukuru Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kulia) kwa msaada wa vyombo mbalimbali vya jikoni walivyopewa na Mbunge wao. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (aliyevaa mawani wapili kulia) akiwa amezungukwa na Mama Lishe wa mjini Nachingwea huku wakimshanglia kwa furaha baada ya kuwakabidhi misaada mbalimbali ya vyombo vya jikoni. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment