WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Thursday 10 July 2014

MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama pori nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimshukuru Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Waziri Chikawe na mgeni wake walijadili masuala mbalimbali ya kujenga ushirikiano wa kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment