Rais
Jakaya Kikwete (wasita kushoto waliokaa), mabalozi na wawakilishi wa mashirika
ya kimataifa nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (watano
kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke (watatu kushoto), Mkuu
wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa (wasita kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
sehemu ya raia wapya 162,156 wa Tanzania (nyuma waliosimama) baada ya kupewa
vyeti vya uraia na Rais Kikwete katika hafla iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini humo. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
No comments:
Post a Comment