WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Thursday, 11 December 2014

WAZIRI CHIKAWE, HAJI WA SMZ WAONGOZA MKUTANO WA USHIRIKIANO WA WIZARA ZAO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zanzibar, Joseph Meza.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara hizo mbili wakati wa mkutano wao wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akiwafafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hizo wakati wa mkutano wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment