WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tuesday, 5 May 2015

MAMBO YA NDANI YATIA FORA MAANDAMANO YA MEI MOSI 
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  Bi. Lilian Mapfa  (wa kwanza kushoto)  aliongoza kikosi cha watumishi wa Wizara hiyo wakati wa Maadhimishio  ya Siku ya Wafanyakazi Duniani  katika Uwanja wa Uhuru  jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Mei, 2015.  Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa wizara hiyo   Stephen Pancras.
MEI MOSI HOYE

No comments:

Post a Comment