WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Friday, 19 June 2015

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO KUHUSU TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI NA USALAMA WA JAMII JIJINI DAR ES SALAAMNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (katikati) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam.

 Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Double Tree,Jijini  Dar es Salaam.
No comments:

Post a Comment