Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wanne kushoto), akiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi
(watatu kulia), Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Lilian Mapfa
(katikati), Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Haji Janabi (wanne kulia), Mkurugenzi
wa Kitengo cha Manunuzi, Manyama Mapesi (watatu kushoto), Mkurugenzi wa Huduma
za Sheria, Marlin Komba (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (TEHAMA), Jane Massawe (wapili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha
Uhasibu, Edwin Makene (wapili kulia) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
ya Serikali, Christina Mwangosi. Wakuu wa Idara wa wizara hiyo walimpa zawadi
ya kushtukiza Katibu Mkuu wao baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha
Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I).
|
No comments:
Post a Comment