WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Thursday, 18 June 2015

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA MWAKA 2015 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Wageni wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma wakiangalia Vielelezo katika Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakipata maelezo kuhusu huduma za Uhamiaji.

Maofisa wa Idara ya Wakimbizi wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mgeni katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma akipata maelezo kuhusu Usajili wa Vyama vya Kijamii katika Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mgeni aliyetembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani akiuliza kuhusu huduma za Idara ya Probesheni na Huduma kwa Jamii

Afisa wa Idara ya Probesheni na Huduma kwa Jamii akitoa maelezo kwa wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu masuala ya Probesheni na Huduma kwa Jamii

No comments:

Post a Comment