WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Friday 4 September 2015

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini,  Jasem Ibrahim Al-Najem  kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo. 
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem  (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait  na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


No comments:

Post a Comment