Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia
jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa
Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza (wapili
kushoto), pamoja na wajumbe wenzake, jinsi Tanzania ilivyojipanga kuhakikisha
Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu utakavyokuwa wa amani.
Wakwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil.
|
No comments:
Post a Comment