WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Friday, 29 January 2016

UMOJA WA WANAWAKE TUGHE TAWI LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA, WAJADILI UMOJA NA USHIRIKIANO JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Mfuko wa Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jackline Semu (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano uliopo ndani ya umoja wao. Katikati meza kuu ni Katibu wa Mfuko huo, Joyce Ngonyani na kushoto meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina Kaale.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jackline Semu (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano uliopo ndani ya umoja wao. Katikati meza kuu ni Katibu wa Mfuko huo, Joyce Ngonyani na kushoto meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina Kaale. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


No comments:

Post a Comment