Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto meza kuu) akimsikiliza aliyekuwa
Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga alipokuwa anazungumza na Waziri huyo
pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo, kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo, mara baada ya Wizara Mwigulu kupokea
taarifa ya makabidhiano ofisini humo.
|
No comments:
Post a Comment