WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tuesday, 21 June 2016

WATENDAJI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUPITISHA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment