Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kulia) akimkaribisha ofisini kwake, jijini
Dar es Salaam, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia
Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya.Viongozi hao walijadiliana masuala mbalimbali
jinsi ya kuwahudumia Wakimbizi nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
|
No comments:
Post a Comment