WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Wednesday, 18 June 2014

MASWALI YA PAPO KWA PAKO KWA NAIBU KATIBU MKUU MALEMI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akiyajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanyoendelea Mnazi mmoja, Dar es Salaam.

KARIBUNI WANANCHI: Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa tayari muda wa asubuhi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi mbalimbali wanaohitaji kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na Wizara hiyo na Taasisi zake, katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Wananchi wakipita katika Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

TUPO HAPA: Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi lililopo Mtaa wa Ohio, Jiji la Dar es Salaam. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

No comments:

Post a Comment