Mwenyekiti
wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO), Luteni Generali Sebastian Ndeitunga
(kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
(kushoto) kuhusiana na utekelezaji wa maazimio ya SARPCCO. Kikao hicho
kilifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo. Wapili
kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO), Luteni Generali Sebastian
Ndeitunga (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe (katikati) kuhusiana na utekelezaji wa maazimio ya SARPCCO. Kikao hicho
kilifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo. Wapili
kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu, na wapili Kushoto
ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Issaya Mngulu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Mwenyekiti
wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO), Luteni Generali Sebastian
Ndeitunga (kulia) kuhusiana na utekelezaji wa maazimio ya SARPCCO. Kikao hicho
kilifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo. Wapili
kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment