Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi rasmi wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza kama wanavyoonekana katika picha. |
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikata utepe kabla ya kuzindua rasmi TOVUTI ya Jeshi la Magereza inayopatikana kupitia annuani ya www.magereza.go.tz(wa pili kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. |
Muonekano wa Mwanzo wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza inayopatikana kupitia annuani ya www.magereza.go.tz. (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza). |
No comments:
Post a Comment