Afisa
wa Jeshi la Magereza nchini, Nsajigwa Mwankenja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil kuhusu shughuli
zinazofanywa na Jeshi hilo, wakati Katibu Mkuu alipotembelea Banda la Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, akipata maelezo
kutoka kwa Maafisa wa Uhamiaji kuhusu shughuli zinazofanywa na Idara hiyo,
wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Maonyesho
ya Wiki ya Utumishi wa Umma
yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akisoma vipeperushi
vya Idara ya Uhamiaji wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja
vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa
wa Jeshi la Magereza (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, aina ya mbegu bora ya muhugo inayolimwa na
Jeshi hilo katika mashamba yake, wakati alipotembelea banda ya Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akisaini kitabu cha
wageni wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika
maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA), Israel Kamuzora akipata maelezo kutoka kwa
Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Rose Mdami, ya jinsi ya
kujaza fomu ya kuomba Kitambulisho cha Taifa, wakati Mkurugenzi Kamuzora
alipotembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika
maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment