WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Friday, 21 August 2015

DK BILAL AZINDUA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU NA MPANGO KAZI WA KITAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal (kulia), akikaribishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu (ATC), Kinemo Kihorano, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, akihutubia  wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Dk. Mohamed Gharib Bilal (katikati), akizindua kitabu cha Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango kazi wa Kitaifa 2015-2017. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu (ATC), Kinemo Kihorano. Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, vitabu vya  Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani nchini, Jamal Jafari, akitoa salamu za ubalozi huo wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Afisa Operesheni wa Shirika la Kimataifa la Wahamiaji (IOM), Mira Nikolic, akitoa salamu za shirika hilo wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Saaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (wanne kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (watatu kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wa uzinduzi wa Kanuni za Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Mpango Kazi wa Kitaifa (2015-2017). Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.  Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.No comments:

Post a Comment