WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Monday 24 August 2015

MWAKILISHI MAALUMU WA MAREKANI KATIKA ENEO LA MAZIWA MAKUU, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimfafanulia jambo Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimkaribisha Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser (kushoto), pamoja na wasaidizi wa viongozi hao wanaoiwakilisha Marekani (kulia), kabla ya kuanza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.  Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


No comments:

Post a Comment