WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tuesday, 6 October 2015

WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KAMATI YA UTENDAJI YA UNHCR JIJINI GENEVA, NCHINI SWITZERLAND

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akitoa maelezo kwa niaba ya Tanzania kuhusu hali ya wakimbizi nchini katika Mkutano wa 66 wa Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) unaofanyika jijini Geveva nchini Switzerland leo. Katikati ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Balozi Modest Mero. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.    

No comments:

Post a Comment