WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Monday, 14 December 2015

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA RASMI WAZIRI CHARLES KITWANGA, WIZARANI LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi wakati Katibu Mkuu wa Wizara, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akiwaongoza Watumishi wa wizara yake kumpokea rasmi Waziri huyo alipokuwa anawasili wizarani hapo kuanza kazi leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (D/IGP), Abdurahman Kaniki wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali Pius Makuru Nyambacha, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa (kulia) wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Wapili Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil ambaye aliwaongoza watumishi wa wizara yake kumkaribisha na kumtambulisha kwa watumishi, Waziri Kitwanga wizarani hapo. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Ernest Malugu, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwa ofisini kwake mara baada ya kukaribishwa rasmi wizarani hapo kuanza kazi. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abduwakil aliwaongoza watumishi wa wizara yake kumkaribisha Waziri huyo mpya wa wizara hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa wizara hiyo, Marlin Komba, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.

No comments:

Post a Comment