Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akiwaeleza jambo
Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao
Makuu ya idara hiyo, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abduwakil, na kushoto
ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo, na wapili kulia (waliokaa) ni
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester
Ambokile na kulia ni Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja.
|
No comments:
Post a Comment