Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza na mahabusu na wafungwa
waliopo Gereza la Wanawake Segerea, jijini Dar es Salaam alipofanya ziara
katika Gereza hilo kujifunza shughuli mbalimbali za uendeshaji wa Magereza.
Kulia kwake ni Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, Kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Maimuna Tarishi. Wapili kulia ni
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP John Minja.
|
No comments:
Post a Comment