Afisa
Uhamiaji anayeshughulika na uchapaji wa Hati za
Kusafiria, Amir Hassan (kushoto),
akitoa maelezo ya jinsi wanavyozichapisha Hati za Kusafiria, kwa Naibu Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni (katikati aliyevaa tai) ambaye
alifanya ziara ya kikazi katika ofisi za Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini,
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester
Ambokile.
|
No comments:
Post a Comment