Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia Kamishna wa
Polisi Zanzibar, Hamdani Omari Makame, mara baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ajili ya ziara ya kikazi Zanzibar. Kulia ni
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
|
No comments:
Post a Comment